Resumen del episodio
Nchini Kenya, mswaada umewasilishwa bungeni unaolenga kushinikiza mitandao ya kijamii kudhibiti maudhui hasi kuwafikia watoto chini ya umri wa miaka 18, au kutozwa dolla millioni 3 iwapo itakiuka sheria hiyo, hatua kama hii imechukuliwa na bara ulaya Je unahisi hatua hii itafaulu kudhibiti athari za mitandao ya kijamii kwa watoto ? Skiza makala.

Episodios
Kenya: Bunge kujadili mswaada wa kudhibiti mitandao
EscuchadoNchini Kenya, mswaada umewasilishwa bungeni unaolenga kushinikiza mitandao ya kijamii kudhibiti maudhui hasi kuwafikia watoto chini ya umri wa miaka 18, au kutozwa dolla millioni 3 iwapo itakiuka sheria hiyo, hatua kama hii imechukuliwa na bara ulaya Je unahisi hatua hii itafaulu kudhibiti athari za mitandao ya kijamii kwa watoto ? Skiza makala.
Kenya : Paul Mackenzie afungwa jela miaka 200
EscuchadoWiki iliyopita Mahakama nchini Kenya, ilimuhukumu kifungo cha miaka 200 mchungaji mwenye utata Paul Mackenzie, baada ya kumpata na hatia ya kuhusika na mauaji ya shakahola, hukumu iliyoibua hisia mseto. Tuambie unazungumziaje adhabu iliyotolewa na mahakama, unafikiri inatosha? Haya hapa maoni yako.
Kenya: Yaadimisha miaka 63 ya uhuru wake
EscuchadoTaifa la Kenya linaadhimisha miaka 63 ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania uhuru wa taifa hilo Tunakuuliza ni njia ipi sahihi ya kuwakumbuka wote waliopigania uhuru barani Afrika ? Skiza makala.
Africa : Umaskini unatatiza bara Africa
EscuchadoOktoba 17 dunia huadimisha siku ya kumaliza umaskini kwa wote. Bara Africa bado umaskini ni donda sugu, hapa mskilizaji anatoa maoni yake kuhusu swala hilo.